Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimesema kuwa kimekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kujulishwa kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho,Tundu Lissu amehamishiwa Gereza la Ukonga. Taarifa kwa ...
MWENYEKITI mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema atafanya maombi kwa Mungu kupata upande sahihi wa kuunga mkono katika mvutano wa kumpata ...