WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe amemuelekeza Mkandarasi Mohammedi Builders Limited wa Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mk ...
Israel imeuzuwia ujumbe binafsi wa Canada uliowajumuisha wabunge sita, kuingia katika eneo linalokaliwa kimabavu la Ukingo wa Magharibi.
Mamlaka yameelezea shambulio hilo kama "kitendo cha ugaidi dhidi ya Wayahudi", lakini hadi sasa hawajatoa maelezo kuhusu nia ...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Reuben ...
Hali mbaya ya hewa inatatiza hali ya kibinadamu katika eneo la Ukanda wa Gaza lililokumbwa na vita. Mamlaka zinasema watu 14 ...
ARUSHA; CHAMA cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Osunyai jijini Arusha, kimesema katika kujiimarisha kiuchumi, kipo katika mpango wa ujenzi wa ukumbi wa kisasa kwa shughuli mbalimbali za kijamii. Akizungumz ...
Kamanda wa kijeshi wa Sudan, ambaye jukumu lake katika mauaji ya el-Fasher lilifichuliwa na BBC Verify, amewekewa vikwazo na ...
Baada ya kuanguka kwa Bashar Assad, Syria inapambana kujenga upya nchi iliyoharibiwa na vita, ukiukaji wa haki za binadamu na mgawanyiko wa kisiasa. Hadithi ya Marwan, aliyeteseka jela, inaakisi safar ...
Vyanzo vya habari vinasema kuwa serikali ya Japani imeandaa makadirio mapya ya uharibifu ikiwa litatokea tetemeko kubwa la ...
Siku moja baada ya Marekani kueleza azma yake ya kutathmini uhusiano wake na Tanzania, mataifa mbalimbali ya Ulaya na Scandinavia, yenye balozi zake nchini, yamelaani mauaji ya raia katika ...
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete, ameielekeza Watumishi Housing Investment (WHI) kuongeza kasi ya upatikanaji wa vyanzo vya fedha ili ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results