IRINGA: Kijana wa kimasai, Lekishon Koipa, ameandika historia nyingine katika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) baada ya kuibuka kinara wa ufaulu kwa kupata GPA ya juu kuliko wote chuoni 4.8.
KATIKA ulimwengu wa soka wa Kiafrika ndoto za vijana wengi huanzia kwenye viwanja vya vumbi huko mitaani tena katika familia za hali ya chini na hata shule za kawaida ambazo miundombinu ya kisasa ni ...
SHIRIKA la World Wildlife Fund (WWF), limepeleka kwa wananchi wa vijiji vinne vya Alaililai, Gelai Lumbwa, Noondoto na Orpurkeri katika Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, miradi ya kiuchumi ya ...
Mjumbe wa serikali ya Kijiji cha Mserekia, Easter Lenana akizungumzia uamuzi huo wa kimila. SIKU 16 za uanaharakati, kupinga ukatili wa kijinsia mkoani Kilimanjaro, zimepata mjongeo chanya, baada ya ...
ARUSHA: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amewataka vijana nchini kuwa na tabia ya kusikiliza hotuba za viongozi wakuu wa nchi na wasifu wao ili wawe mstari wa ...
Arusha. “Nawaomba Watanzania, wananchi wenzangu mnisaidie niweze kupata matibabu kokote ya kuwekewa kitu cha kutolea mkojo, nateseka sana naombeni mnisaidie maana nimeumia sana, vijana wenzangu, ...