"WAMENIAMBIA mambo yako mama eee, wamenieleza matatizo ya mume wako eee, ya kisa cha wewe sheri Zinduna, kufika kupewa talaka." Ni mwanzo wa wimbo uliotungwa na gwiji la muziki Tanzania, Zahir Ally ...
OFISI ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imeanza kupokea tuhuma na malalamiko kuhusu kuwapo kwa viashiria vya mmomonyoko wa maadili kinyume na mila na desturi vinavyohusu vitendo ...