Nicolas Maduro alikitaja kitendo hicho kuwa cha uharamia na ameishutumu Marekani kwa kupanga njama ya kupindua serikali yake ili kuchukua mafuta ya Venezuela.