Mwili wa kijana Mtanzania, Joshua Molel, aliyeuawa nchini Israel katika shambulio la wapiganaji wa Hamas Oktoba 7, ume wasili ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakiwa kheri ya wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne ambao wameanza mtihani wa kuhitimu elimu ya ...
Wanafamilia, wakiongozwa na baba yake Bwana Loitu Mollel, pamoja na maafisa wakuu wa serikali akiwemo Naibu Waziri wa Mambo ...
Ingawa Tume hiyo inasema kuwa bado haifahamu ukubwa wa tatizo, lakini inaisitiza kwamba matokeo ya uchunguzi huo yanaweza ...
Makundi ya haki za binaadamu nchini Tanzania yamelaani ripoti za kile walichotaja "mauaji ya kulipiza kisasi" dhidi ya raia, ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri likiwa na mabadiliko makubwa ya kiwizara sambamba ...
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema idadi ya watahiniwa wa kidato cha nne imeongezeka kwa asilimia 7.67 mwaka huu ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne waliotarajiwa kuanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari katika shule za sekondari 5,868 nchini Novemba 17, 2025. Kupiti ...
BAADA ya kukosa uhondo wa Ligi Kuu Bara, huenda mashabiki wa soka jijini Mbeya wakaanza kushuhudia timu zao Mbeya City, ...
MSHAMBULIAJI wa Al-Nassr FC, Cristiano Ronaldo, 40, ameibua mjadala kuhusu kiwango cha umaarufu wake duniani, hatua inayomuibua pia staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz, 36, kwa upande wa Tanzania.
Umoja wa Ulaya Jumapili sasa unazitaka mamlaka nchini Tanzania kujiepusha kuchochea vurugu Pamoja na kutumia nguvu ...
Katika makala yetu leo tunaangazia pakubwa Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania ambapo Rais Samia Suluhu aliapishwa siku ya Jumatatu kuongoza muhula wa pili, hata hivyo ni uchaguzi ambao ulikumbwa na ...