Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa leo Novemba 14, 2025 kulihutubia bunge, ikiwa ni ...
WATANZANIA walikuwa na matarajio ya kushuhudia mwendelezo wa demokrasia iliyokomaa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema idadi ya watahiniwa wa kidato cha nne imeongezeka kwa asilimia 7.67 mwaka huu ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne waliotarajiwa kuanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari katika shule za sekondari 5,868 nchini Novemba 17, 2025. Kupiti ...
Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi Oktoba 29. Na utakumbuka chama kikuu cha upinzani CHADEMA kilizuiwa kushiriki. Lakini kabla uchaguzi huu, kuna video mitandaoni kwenye Facebook, X lakini pia ...
Rais Samia akemea vikali vitendo vya uvunjifu wa sheria vilivyotokea wakati wa Uchunguzi Mkuu. Na Waandishi wa BBC Chanzo cha picha, Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa ametoa ujumbe ...
Septemba 15, duniani kote huadhimisha siku ya demokrasia, siku iliyoanzishwa na Umoja wa Mataifa kuangazia umuhimu wa wananchi kushiriki kikamilifu katika maamuzi ya taifa na kuhakikisha viongozi ...
Kwa mujibu wa shirika hilo, rais Samia ataapishwa katika uwanja wa kijeshi ambapo rai awa kawaida hawataruhusiwa kushuhudia tukio hilo. Mwishoni wa juma lililopita, tume huru ya taifa ya uchaguzi, ...