Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema baada ya ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi kukamilika kwa asilimia 99 utaenda kufanikisha kuchochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi Kanda ya Ziwa na nchi jirani ...
KLABU ya Simba pamoja na kushushwa hadi nafasi ya pili, bado ina matumaini ya kutwaa Ubingwa wa Tanzania Bara huku taarifa zikisema Kocha Mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids, amekataa kwenda FAR Rabat ya ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amemmwagia sifa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama aliyefariki dunia kuwa alikuwa kiongozi mwenye ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.