Mamlaka ya Kitaifa ya Takwimu, KNBS imeelezea utayarifu wake katika kuendesha shughuli ya sensa mwezi ujao. Haya yanajiri huku shughuli ya kuwachuja waliotuma maombi ya kazi ya sensa iking'oa nanga ...
Maisha mapya, nchi mpya na kazi mpya ndivyo Mkenya, Henry Kathurima alitarajia alipoamua kuhamia Canada. "Nilikuwa na matarajio makubwa sana. Nilidhani ningeanza maisha yangu kwa kasi ya juu kwa ...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, (KKKT) limetangaza wiki moja ya maombi ya kitaifa kutokana na ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, huku likifafanua zaidi kuhusu yatakayozingatiwa wakati wa ...