Mapambo yanayotengenezwa katika onyesho la Krismasi huonyesha vitu vitatu vikitolewa kama zawadi. Hadithi inaelezea kuwa wanaume wenye busara walikuja na kumpatia mtoto Yesu dhahabu, ubani na manukato ...
Jessica Hayes alijinunulia mwenyewe shela, ushungi na pete ya ndoa. Lakini aliposimama altareni kufungishwa ndoa na Askofu, hakuwepo bwana harusi pembeni yake. Alikuwa akifunga ndoa na Yesu Kristo. Bi ...