Karibu kila mtu ana dhana fulani kuhusu muonekano wa Yesu Kristo. Ndiye mtu aliyechorwa zaidi katika sanaa ya Magharibi. Picha zake hutambuliwa kwa urahisi, ambapo huoneshwa akiwa na nywele ndefu na ...
Michael Job, mhubiri wa Marekani na muigizaji ambaye hivi majuzi alizuru Kenya na kuitwa 'Yesu bandia' hajafariki kama ilivyoangaziwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania na Kenya.
Wakiristo kote duniani, wanasherehekea sikukuu ya Krismasi, siku wanayoamini, mwokozi wao Yesu Kristo alizaliwa. Hata hivyo, kwa mwaka wa pili sasa, siku hii inaadhimishwa kwenye mazingira magumu, ...
Wakristo duniani kote wanamiminika Makanisani hii leo kuadhimisha siku kuu ya Krismasi. Kulingana na imani ya Kikristo, Krismasi ni siku kuu ambayo wanaamini kuwa Yesu Kristo (Isa) alizaliwa ...
Wakristo duniani kote waadhimisha leo siku ya Ijumaa Kuu wakikumbuka kuteswa, kusulubiwa na hatimaye kuuwawa kwa Yesu Kristo msalabani. Katika siku ya leo waamini wa kikristo hukusanyika kwenye ...
Wakristo duniani kote wanaadhimisha siku kuu ya Krismasi. Wakristo wanaamini kuwa Yesu Kristo, kwa mujibu wa imani yao ndio mwokozi wa ulimwengu, alizaliwa leo katika ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results