Rais wa Halmashauri Kuu ya Ulaya, Ursula von der Leyen alaani shambulizi kwenye soko la Christmas mjini Magedburg, Ujerumani: Mamlaka mpya nchini Syria wasema unataka kuchagia amani ya kikanda na ...
Waziri wa Huduma za Serikali Bill Shorten ametangaza kuwa shirika la Services Australia, lime tekeleza karibu nusu ya mapendekezo yote kutoka Tume yakifalme kwa mfumo usio halali wa Robodebt. Mpango ...
"Hussam Shabat, mwandishi wa habari aliyekuwa akishirikiana na Al Jazeera Mubasher, ameuawa katika shambulio la Israel lililolenga gari lake kaskazini mwa Ukanda wa Gaza," imesema taarifa ya Al ...
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Richard Marles, amesema kutakuwa uwekezaji wa ziada katika idara ya Ulinzi wa dola bilioni 1 katika bajeti itakayo tangazwa usiku wa leo Jumanne Machi ...
Karibu usikilize taarifa ya habari asubuhi ya leo hapa DW Kiswahili. Miongoni mwa utakayoyasikia ni Rais Volodymyr Zelensky wa ukraine auomba Umoja wa Ulaya kutoiacha pembeni Marekani wanapoisaidia ...