Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Richard Marles, amesema kutakuwa uwekezaji wa ziada katika idara ya Ulinzi wa dola bilioni 1 katika bajeti itakayo tangazwa usiku wa leo Jumanne Machi ...
Kiongozi wa Tasmania wa chama cha Liberal anatarajiwa kuitisha rasmi uchaguzi wa mapema hii leo, hatua itakayo rejesha jimbo hilo la kisiwa katika uchaguzi wa pili katika muda wa miaka mbili. Kundi la ...
Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Ujerumani yanaonesha kuwa chama cha Social Democratic SPD kinaongoza kwa kupata takribani asilimia 26 ya kura//Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ...