Chombo cha anga za juu cha kibinafsi Polaris Dawn kiliondoka duniani Jumanne hii kutoka Florida kwa usaidizi wa roketi ya SpaceX Falcon 9. Miongoni mwa wasafiri katika chombo hiki ni bilionea Jared ...
Raia wa Kherson wanaishi kwa hofu ya mashambulizi ya kila mara ya droni za Urusi, ambazo Umoja wa Mataifa unasema zinawalenga ...
Wanaanga wa NASA Sunita Williams na Butch Wilmore, ambao wamekwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu kwa muda wa miezi 9, hatimaye watarejea duniani. Wanaanga hao walienda kwenye kituo cha ...
Historia imeandikwa nchini Tanzania baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuzindua rasmi safari za treni ya umeme wa SGR utakaofanya safari zake kati ya Dodoma na Dar ...
Takriban kilomita 40,000 na siku kumi na mbili za safari, safari ya 45 ya kitume ya Papa Francis inakumbusha safari kuu za mtangulizi wake John Paul II. Ziara hii itafanya atambue zadi ulimwengu ...
Ikiwa imesalia mwaka mmoja tu kandarasi ya sasa ya Safari Rally kwenye mashindano ya dunia WRC kutamatika, washikadau, wafanyabiashara na mashabiki wanaitaka serikali ya Kenya kurefusha mkataba wake ...
ALIPOVAA jezi ya Yanga SC kwa mara ya kwanza, ndio ilikuwa ishara halisi kwamba safari ya mtaa ilikuwa imebadilika kuwa historia ya kweli ya soka la ushindani.