Bila shaka si kosa la lugha, ikiwa lugha fulani itatumika na majambazi, waasi au watu wowote waovu. Lugha ni chombo tu cha mawasiliano, waweza itumia kumbembeleza mke wako asikukimbie, na kinyume ...
Haitoshi tu mabaraza ya lugha ya Kiswahili iwe Tanzania au Kenya kusimamiwa na wenye ujuzi wa kitaalamu tu, bali watu wenye mchanganyiko wa utaalamu na kuwa ni lugha yao ya kuzaliwa. Mtindo wa ...
Leo hii, tunasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani, siku maalum ya kutambua na kuenzi thamani ya lugha ya Kiswahili kama chombo muhimu cha mawasiliano, utambulisho wa tamaduni, na daraja la maelewano ...
Julai saba kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya Kiswahili katika kutambua mchango wa lugha hiyo adhim katika kukuza utofauti wa kitamaduni, kujenga ufahamu na kukuza mjadala miongoni mwa jamii.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results