Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imesitisha kwa muda leseni ya maudhui ya mtandaoni ya gazeti la Mwananchi ikidaiwa kuchapisha maudhui yanayoleta tafsiri hasi kwa taifa hilo la Afrika Mashariki.
Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania imesitisha kwa muda leseni ya maudhui ya mtandaoni kampuni ya "Mwananchi Communications" inayochapisha magazeti ya Mwananchi na The Citizen, baada ya kuchapisha ...
Tanzania imesimamisha shughuli za mtandaoni za gazeti maarufu la Mwananchi baada ya kutoa sehemu ya matangazo zikimuonyesha rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na kurejelea matukio ya kutekwa nyara ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results