Binadamu tangu zama za kale amekuwa akijenga, kuchonga na kuweka sanamu za aina nyingi kwa sababu mbalimbali. Baadhi hutumiwa kuwaenzi watu maarufu na kuwakumbuka, na nyingine huabudiwa kama miungu.
Kila kitu unachokijua kuhusu ushetani ni uwongo. Hayo ni kwa mujibu wa filamu mpya inayoangazia Hekalu la Kishetani. Licha ya ukaribu wa majina, Hekalu hilo ni tofauti na Kanisa la shetani, ...