Papa Francis amekosoa sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja kuwa "sio haki", akisema Mungu anawapenda watoto wake wote jinsi walivyo na kuwataka maaskofu wa Kikatoliki wanaounga mkono sheria ...
Kanisa katoliki nchini Ujerumani limeendelea kuonyesha kukaidi maagizo ya makao makuu ya kanisa hilo, kwamba makasisi hawawezi kubariki mahusiano ya watu wa jinsia moja. Jumapili mapadri wa Kanisa ...
Lakini wakati taarifa ya Vatikani ilitangazwa na baadhi ya watu kama hatua ya kuvunja ubaguzi katika Kanisa Katoliki, baadhi ya watetezi wa LGBTQ+ walionya inasisitiza wazo la kanisa hilo kwamba ...