Wahariri wengi wa magazeti yaliochapishwa leo hapa Ujerumani waliushughulikia mpango wa vyama ndugu vya Christian Democratic, CDU, na Christian Social, CSU, vya hapa Ujerumani kutaka kuanza kukusanya ...
Magazeti ya Ujerumani yaliyotoka leo, licha ya kujishughulisha na masuala ya mambo ya ndani, yamejishughulisha pia na masuala ya kimataifa kama vile Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu hatima ya Irak na ...
Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania imesitisha kwa muda leseni ya maudhui ya mtandaoni kampuni ya "Mwananchi Communications" inayochapisha magazeti ya Mwananchi na The Citizen, baada ya kuchapisha ...
Wadau wengi wa Sekta ya Habari nchini Tanzania wapendekeza kufutwa kwa Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976 inayochangia kwa kiwango kikubwa kubanwa kwa uhuru wa Vyombo vya Habari!! Pendekezo hili ...