Mada muhimu zinazotiliwsa uzito na magazeti mengi ya Ujerumani ni mjadala unaoendelea kati vyama-ndugu vya CDU na CSU kuhusu mgombea wa pamoja wa wadhifa wa kansela wa Ujerumani na hatima ya Kosovo ...
Jee wajerumani wanasema nini juu ya Afrika kwa wiki hii? Ungana na Zainab Aziz katika wasaa mwingine wa kusikia yaliyoandikwa kuhusu bara la Afrika katika magazeti ya Ujerumani. Matangazo Ruka sehemu ...