Mwanamke mmoja alipata zaidi ya alichokuwa amekinunua alipoenda dukani kununua mahitaji yake. Alitoka dukani akiwa mama wa mtoto wa kiume. Kylie Hagger, mwenye umri wa miaka 21, alikuwa hafahamu kuwa ...