Baada ya kampeni kali ya miezi kadhaa kati ya Kamala Harris na Donald Trump, Marekani itachagua rais wake ajaye. Na Asha Juma,Lizzy Masinga & Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha ...
Wamarekani watapiga kura mwezi Novemba kumchagua rais ajaye wa Marekani. Kura hiyo itafuatiliwa kwa karibu kote ulimwenguni. Pia watakuwa wakipigia kura wabunge wa Baraza la Congress, ambao wanachukua ...
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Ijumaa ametangaza kuachana hadharani na mshirika wake wa muda mrefu na kiongozi wa MAGA ...
Kuanzia Ijumaa hii, Aprili 19, na kwa wiki sita zijazo, Wahindi milioni 970 wanaitwa kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge. Chama au muungano utakaopata wingi wa viti katika Lok Sabha utaunda ...
Ripoti ya waangalizi wa Umoja wa Afrika imesema wazi kuwa uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, haukukidhi viwango vya kidemokrasia vinavyotakiwa na AU na kanuni za kimataifa.