Nani atarusha kipindi cha sehemu 10 cha TV katika jiji lililoibuka kutoka kwenye mzozo wa miaka 30 na waigizaji wa vijana ambao hawajawahi kuigiza hapo awali? Jibu ni Ahmed Farah. Yeye ni mkurugenzi ...
Tamthilia au michezo ya kuigiza ya jukwaani nchini Tanzania, hali yake ipo je? Nafasi yake katika historia na utamaduni ni ipi? Mtaalamu wa sanaa hiyo, Godfrey Mngereza kutoka Baraza la Sanaa la Taifa ...