Ukulima wa ufugaji nyoka ni biashara yenye faida kubwa nchini Kenya ambapo wakulima hutoa sumu ya nyoka na kutengeza dawa ya kukabiliana na majeraha ya mnyama huyo punde tu anapomng'ata binadamu.
Takriban miaka bilioni 4.5 iliyopita, ardhi ya sayari yetu ilikuwa tasa na isiyo na uhai. Ilichukua miaka nyingine bilioni 2 kwa viumbe wa kwanza wenye seli moja kuonekana baharini. Mimea inayoundwa ...
Zaidi ya tafiti 1500 zimethibitisha kuwa mafuta ya nazi ndio mafuta bora zaid chini ya jua. Mafuta ya nazi ni dhahabu kwa afya ya mwili na ngozi kwa ujumla. Bidhaa nyingi za vipodozi zimechunguzwa na ...
Mengitis ni uvimbe wa sehemu iitwayo mengines katika ubongo na uti wa mgongo. Uvimbe huo husababaisha kuumwa na kichwa, joto jingi mwilini na kuumwa na shingo, na usipogunduliwa mapema huisababisha ...
Watu watatu waokolewa kutoka kisiwa kidogo cha bahari ya Pasifik baada ya kutengeneza mchoro mkubwa wa herufi za SOS mchangani, ulioonekana kutoka juu. Watu watatu wameokolewa kutoka katika kisiwa ...
Mkataba waku kodi nyumba, ni hati yakisheria. Inajumuisha maswala kama, idadi ya hela unapashwa lipa na jinsi yaku lipa. Muda mkataba huo utakao dumu na aina ya upangaji, idadi ya dhamana inayo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results