''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 60 iliyopita. Idhaa ...
Julai saba kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya Kiswahili katika kutambua mchango wa lugha hiyo adhim katika kukuza utofauti wa kitamaduni, kujenga ufahamu na kukuza mjadala miongoni mwa jamii.
Karibu msikilizaji kuwa nami Jumapili hii katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, leo nakuletea Historia ya Kiswahili ambayo imeanza kuadhimishwa kwa mara ya kwanza mwaka huu Julay 7 kote ...
Ulimwengu leo unaadhimisha siku ya lugha ya Kiswahili .Ni Maadhimisho ambayo yamekuja na sadfa nzuri-baraza la mawaziri nchini Uganda kuidhinisha Kiswahili liwe somo la lazima katika shule za msingi ...
Karibu katika makala ya leo changu chako chako changu ambapo leo nakuletea historia ya siku ya madaraka ambayo huadhimishwa kila Juni Mosi nchini Kenya. Na kwenye le parler francophone kama kawaida ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results