Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa leo Novemba 14, 2025 kulihutubia bunge, ikiwa ni ...
WATANZANIA walikuwa na matarajio ya kushuhudia mwendelezo wa demokrasia iliyokomaa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema idadi ya watahiniwa wa kidato cha nne imeongezeka kwa asilimia 7.67 mwaka huu ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa ...
Katika makala yetu leo tunaangazia pakubwa Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania ambapo Rais Samia Suluhu aliapishwa siku ya Jumatatu kuongoza muhula wa pili, hata hivyo ni uchaguzi ambao ulikumbwa na ...
Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi Oktoba 29. Na utakumbuka chama kikuu cha upinzani CHADEMA kilizuiwa kushiriki. Lakini kabla uchaguzi huu, kuna video mitandaoni kwenye Facebook, X lakini pia ...
Rafiki yangu mmoja aliwahi kuishi jijini Doha, Qatar kwa takribani wiki moja. Aliporejea Dar es Salaam, nilimuuliza aniambie kwa nini aliamua kutofanya kazi aliyokuwa ameitiwa. Jibu lake sijalisahau ...
KLABU ya Yanga, leo Jumatano Novemba 19, 2025 imezindua jezi maalum kwa ajili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa ...
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusitisha mara moja vitendo vya kutoweka kwa wapinzani wa kisiasa, watetezi wa haki za binadamu ...
Makundi ya haki za binaadamu nchini Tanzania yamelaani ripoti za kile walichotaja "mauaji ya kulipiza kisasi" dhidi ya raia, ...
(Nairobi) – Kuondolewa kwa nguvu kwa jamii za Kimaasai kulikofanywa na Serikali ya Tanzania kutoka maeneo ya kaskazini mwa Tanzania ambayo wameishi kwa muda mrefu ni uvunjaji wa haki zao za ardhi, ...