Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa leo Novemba 14, 2025 kulihutubia bunge, ikiwa ni ...
Waziri Mkuu mpya Dk. Mwigulu Nchemba. BUNGE la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linemthibitisha Dk. Mwigulu Nchemba kuwa ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kutangaza Baraza jipya la Mawaziri ...
Kwa upande mwingine, TRA United inayoongozwa na kocha Etienne Ndayiragije ambaye aliwahi kufanya kazi na Bajaber wakati huo ...
Kwa siku kadhaa sasa kuna sauti mbili zinazoshindana katika mdundo wa ngoma mbili tofauti lakini kwenye uwanja mmoja. Sauti moja inasema No Reform No Election, ikisisitiza mageuzi ya msingi kwanza ...
Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi Oktoba 29. Na utakumbuka chama kikuu cha upinzani CHADEMA kilizuiwa kushiriki. Lakini kabla uchaguzi huu, kuna video mitandaoni kwenye Facebook, X lakini pia ...
NI Mwigulu Lameck Nchemba. Ndio, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu mpya.
RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne waliotarajiwa kuanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari katika shule za sekondari 5,868 nchini Novemba 17, 2025. Kupiti ...
Habari Rafiki hii leo inajiegemeza katika suala la nauli mpya ambazo zimeanza kutumika kuanzia hii leo nchini Tanzania ambapo nauli za daladala nazo pia zimeongezeka, ungana na Sabina Crispine ...